80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

YANGA YATANGAZA SIKU MAALUMU YA MKUTANO MKUU NA WANACHAMA WOTE

Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa ametangaza siku maalumu ambayo klabu  itafanya mkutano mkuu wa wanachama wote,kujadili masuala mbalimbali muhimu ya maendeleo.

Mkwasa amesema kuwa wanachama wa Yanga wanapaswa kufanya maandalizi ya kuhudhuria mkutano huo sasa kwa kulipa ada zao mapema kwa sababu kwenye mkutano huo ukaguzi mkubwa utafanyika kabla ya watu kuingia ndani ya ukumbi.

Mkutano huo unatarajiwa kuafanyika Mei 5-2018 jijini Dar es Salaam, wanachama wenye kadi aina zote mbili wataruhusiwa kuingia ukumbuni, kwa maana ya wale wenye kadi za zamani na hizi zinazotolewa sasa kupitia benki ya posta.

Akiendelea zaidi Mkwasa amesema kuwa, kupitia kikao cha kamati ya utendaji kilichofanyika  jumapili iliyopita, kamati   imeridhia kufanyika kwa Mkutano huo, na kuomba wanachama kujindaa kwa ajenda ambazo zitatangazwa baaadae.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE