80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

YANGA YAJICHIMBIA MOROGORO

Kuelekea kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la FA dhidi ya Singida United, na ule wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya  Welayta Dicha ya Ethiopia, klabu ya Yanga imeamua kuweka mikakati yake mapema kuzimaliza timu hizo kwa kuweka kambi mkoani Morogoro.

Yanga ilitarajiwa kuanza mazoezi juzi Alhamisi, lakini ilibadili ratiba yake na kuwapa wachezaji wake muda zaidi wa kupumzika  kabla ya kwenda Morogoro kuweka kambi hiyo ya wiki moja.

Meneja wa Yanga, Hafidh Salehe alisema wameamua kuweka kambi mkoani Morogoro sehemu ambayo itakuwa tulivu kwao kuweza kufanya maandalizi ya kutosha kuifunga Singida inayonolewa na kocha wa zamani wa timu hiyo, Hans Van Pluijm .

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE