80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

YANGA VS WELAYTA DICHA KOMBE LA SHIRIKISHO HII HAPA RAREHE RASMI

Mchezo wa awali wa mtoano kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Afrika, kati ya Yanga ya Tanzania dhidi ya Welayta Dicha ya Ethiopia unatarajiwa kupigwa Jumamosi ya April 07 mwaka huu kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam saa 16:00 jioni.

Mchezo wa marudiano baina ya timu hizo unatarajiwa kupigwa April 17 mwaka huu, huko Ethiopia.

Yanga tayari imeanza kujifua kuelekea mchezo huo sambamba na ule wa kombe la FA dhidi ya Singida United utakaopigwa mapema, April 01-2018.

Wawakirishi hao pekee wa Tanzania wanaitaji kushinda katika mchezo wa kwanza utakaofanyika hapa nchini ili kujiwekea mazingira mazuri ya kupata matokeo mazuri ugenini.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE