80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

YANGA KWENDA KUJICHIMBIA MOROGORO KABLA YA KUWAFUATA SINGIDA UNITED

Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuweka kambi mkoani Morogoro kujiandaa na mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Singida United na ule wa kombe la Shirikisho.

April 01 Yanga itasafiri mkoani Singida kuwakabili Singida United timu inayonolewa na kocha wa zamani wa Yanga, Hans van Pluijm.

Baada ya mchezo huo Yanga itaendelea na maandalizi kabla ya kuikabili Walayta Dicha katika mchezo wa kwanza wa mtoano kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho.

Mchezo huo utapigwa April 07 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Yanga imekuwa ikiweka kambi mara kwa mara mkoani Morogoro kujiandaa na michezo muhimu.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE