80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

YAFAHAMU MAMBO 5 MUHIMU KABLA YA TANZANIA KUIVAA DR CONGO

Kesho Jumanne ya March 27-2018, utachezwa mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' dhidi ya timu ya taifa ya DR Congo, mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye uwanja wa Taifa Dar es salaam.

Kuelekea mchezo huo uliopo kwenye kalenda ya FIFA, yajue haya matano muhimu kabla ya kushuhudia mtanange huo

1:Timu ya taifa ya DR Congo imewasiliTanzania leo ikiwa na kikosi cha wachezaji 26, kati ya hao wanne tu ndio wanacheza Ligi za Afrika waliosalia ni nje ya bara la Afrika wakati Tanzania ni Mbwana Samatta pekee ndio anachezaji nje ya bara la Afrika katika kikosi cha Taifa Stars.

2:Tanzania ina wachezaji wanne pekee wanaocheza nje ya mipaka ya Tanzaniawaliyomo katika kikosi cha Taifa Stars kwa sasa ambao ni Abdi Banda wa Baroka FC ya Afrika Kusini, Simon Msuva wa Difaa El Jadidya Marocco, Rashid Mandawa anayecheza Botswanana Samatta anacheza Genk ya Ubelgiji.

3:Tanzania upo nafasi ya 146 katika viwango vya soka vya FIFA vinavyotolewa kila mwezi wakati DR Congo wao wapo nafasi ya 39 katika viwango vya soka vya FIFA.

4:Congo DRC ndio timu ambayo ina mchezaji ghali zaidi katika bara la Afrika Cedric Bakambu ambaye ameweka rekodi ya mchezaji wa Afrika pekee aliyesajiliwa kwa dau la pound milioni 65 akitokea Villareal ya Hispania na kujiunga na Beijing Guoan.

5:Katika Listi ya wachezaji 26 wa Congo DRC waliyokuja kucheza na Taifa Stars Jumanne ya March 27, wachezaji 14 pekee kati ya 26 wa Congo ndio wamezaliwa Congo wengine wote wamezaliwa Europe.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE