80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

WINGA MTANZANIA ANUSURIKA KIFO

Na Joseph michael
Lema atoa sababu ya ajali yake
Lema amepandishwa kikosi cha kwanza cha timu hiyo ya Ligi Kuu nchini humo,  alipata ajali hiyo, wakati akiendasha gari lake aina ya Volkswagen LZ 605 CL.
Dar es Salaam. Baada ya kunusurika kifo, winga wa Mtanzania, Michael Lema (18) anayeichezea Sturm Graz ya Austria  amesema chanzo cha ajali yake ni mwendo  kasi uliomfanya apoteze mwelekeo na kugonga kingo za barabara.

Lema amepandishwa kikosi cha kwanza cha timu hiyo ya Ligi Kuu nchini humo,  alipata ajali hiyo, wakati akiendasha gari lake aina ya Volkswagen LZ 605 CL.

"Naendelea vizuri kabisa, sikupata maumivu yoyote zaidi ya mstuko wa kawaida na nilikuwa peke yangu nikitoka kwenye mizunguko yangu ya kawaida.

"Kilichosababisha ajali ni mwendo kasi ndipo gari nilishindwa kuudhibiti na nikajikuta nimepata hiyo ajali," alisema winga huyo.

Lema amekichezea kikosi B cha timu hiyo michezo nane kabla ya kupandishwa kikosi cha kwanza kwenye ligi daraja la tatu na kufunga mabao matatu.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE