80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

WATANO NJE SIMBA VS YANGA LIGI KUU TANZANIA BARA

Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga utakaochezwa hivi karibuni, baadhi ya wachezaji wa timu hizo hawataweza kucheza kutokana na sababu mbalimbali.

Katika msimamo wa ligi hiyo, timu hizo kwa sasa zinatofautiana mabao ya ku­funga lakini zikiwa sawa pointi kwa pointi 46, Simba ipo kileleni ikifuatiwa na Yanga ingawa Simba wana mchezo mmoja mkononi.

Mchezo wa mzunguko wa kwanza uliopigwa Oktoba 28, mwaka jana ambao ulimal­izika kwa sare ya bao 1-1, vikosi vilivyoanza vya timu hizo mbili ni tofauti na vile ambavyo vinatarajiwa kuku­tana mwezi ujao.

Kuelekea mchezo huo, kwa upande wa Simba wache­zaji ambao watakuwa wapya ambao kwa sasa wamekuwa wakicheza kikosi cha kwanza ni Asante Kwasi, Nicholaus Gyan, Shomari Kapombe, Jonas Mkude na John Bocco ambao wote hawakucheza mchezo wa kwanza.

Ambao wameondolewa kwenye kikosi ni Mohamed Ibrahim ‘Mo’, Method Mwanjale, Haruna Niy­onzima, Mzamiru Yassin na Laudit Mavugo, ukiachana na Mwanjale ambaye ameachwa, wengine ni wag­onjwa na wengine hawana nafasi kikosi cha kwanza.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE