80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

WAPINZANI WA YANGA KUWASILI KESHO JUMAPILI

Wapinzani wa Yanga Michuano ya ligi ya mabingwa Afrika, Township Rollers wanatarajiwa kuwasili nchini kesho Jumapili ya March 04 tayari kwa mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa hatua ya mtoano dhidi Yanga.

Rollers itashuka dimbani leo kucheza mchezo wa fainali michuano ya Mascom Top 8 dhidi ya Orapa United katika mji wa Francistown.

Tayari baadhi ya viongozi wa timu hiyo wako jijini Dar es salaam kwa siku kadhaa sasa wakiweka sawa mapokezi ya timu yao.

Yanga tayari iko jijini Dar es salaam ikiendelea na maandalizi kuelekea mchezo huo ambao ushindi ni lazima ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kutinga hatua ya makundi ya michuano hiyo.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumanne ya March 06 mwaka huu kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE