80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

WANNE YANGA WALIOKUWA STARS KUTUA MOROGORO, KABWILI ABAKI DAR

Wachezaji wanne wa Yanga, kati ya watano waliokuwa kwenye kikosi cha Tanzania 'Taifa Stars wanatarajiwa kusafiri mchana huu kuelekea Morogoro kwa ajili ya kuungana na wenzao, tayari kwa mchezo wa kombe la FA dhidi ya Singida United.

Wachezaji hao ni Ibrahim Ajibu, Hassan Kessy, Kelvin Yondani na Gadiel Michael, wanne hao wanaenda kuungana na wanzao katika maandalizi ya kombe la  Azam Sports Federation Cup dhidi ya Singida United katika hatua ya Robo Fainali.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa April Mosi mwaka huu katika uwanja wa Namfua Singida.

Ramadhani Kabwili yeye amebaki Dar es salaam, sababu kubwa ikiwa ni kuungana na kikosi cha timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 20 Ngorongoro Heroes.

Kocha msaidizi wa Yanga Noel Mwandila pia atakuwa sehemu ya msafara huo, Yanga imeweka kambi Morogoro katika kuhakikisha wanapata maandalizi mazuri kabla ya kuivaa Singida United.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE