80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

WAKALA WA ANTHONY MARTIAL ATHIBITISHA KUONDOKA KWA MARTIAL MANCHESTER UNITED

Na Yego Sholla

Wakala wa Anthony Martial ameshindwa kutoa uhakika kwamba mshambuliaji huyo atabaki Manchester United msimu ujao baada ya kuibuka uvumi kuhusu mustakabali wake.

Philippe Lamboley ameiambia Il Bianconero: " Martial atabaki Manchester United majira ya kiangazi ? Samahani lakini kwa sasa siwezi kusema chochote kuhusu hilo."

" Lengo lake ni kutwaa kombe la FA na kumaliza nafasi ya pili katika ligi akiwa na United ili wafuzu kucheza ligi ya mabingwa ulaya msimu ujao."

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE