80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

WACHEZAJI WANAOUNDA KIKOSI CHA TANZANIA DHIDI YA DR CONGO

Hiki ni kikosi cha timu ya Tanzania' Taifa Stars' kinachotarajiwa kucheza na DR Congo Jumanne, mchezo uliopo kwenye  kalenda ya FIFA.

Katika mchezo wa kwanza kati ya miwili uliofanyika nchini Algeria March 22 mwaka huu, Tanzania ilipokea kichapo cha magoli 4-1.

Mchezo huu wa pili dhidi ya DR Congo unatarajiwa kupigwa March 27 mwaka huu kwenye uwanja wa Taifa Dar es salaam.

Kikosi Kamili Kinachotarajiwa Kutumika katika mchezo huo ni: Aishi Manula, Ramadhan Kabwili, Mohammed Abdulraman, Shomari Kapombe, Hassan Kessy, Gadiel Michael, Kelvin Yondani, Abdi Banda, Erasto Nyoni, Himid Mao, Abdulazizi Makame, Ibrahim Ajibu, Mohammed Issa "Banka" Feisar Salum, Mudathir Yahya, Shiza Kichuya, Yahya Zayd, Shabani Chilunda, Saimon Msuva, Rashid Mandawa na Mbwana Ally Samatta

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE