80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

WACHEZAJI WANAOUNDA KIKOSI CHA DR CONGO DHIDI YA TANZANIA

Pichani ni Romelu Lukaku kabla ya kutua Manchester United pamoja na Yannick Bolasie na wachezaji wengine wakifurahia kwa pamoja baada ya kufunga goli wakiwa Everton

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya DR Congo, Florent Ibenga alitangaza kikosi imara kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars March 27-2018.

Ibenga aliwaita wachezaji wengi wanaocheza barani Ulaya akiwemo mchezaji ghali zaidi barani afrika kwa hivi sasa, Cedric Bakambu aliye jiunga na miamba ya China Beijing Guoan kwa Euro million 65 akitokea klabu ya Villarreal.

Aidha, katika kikosi hicho Ibenga amewajumuisha Bolasie Yannick, Chancel Mbemba na Masuaku Arther ambao wote wanachezea ligi kuu nchini Uingereza.

Taifa stars itawakaribisha DR Congo kwenye mchezo huo wa kirafiki ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kucheza michezo ya kufunzu michuano ya mataifa ya Afrika mwaka 2019, ambapo Tanzania ipo kundi L pamoja na Lithoto, Uganda na Cape Verde.

Wachezaji wengine walioitwa ni pamoja na magolikipa, Parfait Mandanda (Charleroi,France), Joel Kiassumbua (Lugano,Italy) na Matampi Ley.

Walinzi akiwa Issama Mpeko (TP Mazembe), Ikoko Jordan (EAG, France), Nsakala Fabrice (Alayanspor,Turkey), Ngonda Glody (AS Vita Club), Masuaka Arthur (West Ham, England). Chancel Mbemba (Newcastle United, England), Moke Will (Konyaspor, Turkey), Bangala Yannick ( AS Vita), Luyindama Christian (Standard,Belgium), Mulumbu Youssouf (Kilmanock, Scotland), Lema Mabidi (Raja, Morrocco).

Viungo akiwa Kebano Neeskens (Fulham, England ), Giannelli Imbula (Toulouse, France), Maghoma Jacques (Birmingham, England ), Kakuta Gael (Amiens, France).

Washambuliaji ni Balasie Yannick (Everton, England), Kabananga Junior (Al Nassr, Saudi Arabia), Mubele Fiemin (Touloise, France ), Paul Jose Mpaku (Standard Liege, Belgium), Cedric Bakambu (Beijing, China), Afobe Benik (Wolves,England ) Assombalonga Britt (Middlesbrough, England), Thibola Aaron (Kilmanock, Scotland ).

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE