80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

WAAMUZI ENGLAND WAPIGWA STOP KOMBE LA DUNIA

Na Yego Sholla

Wakati ikiwa imesalia miezi michache kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi, jumla ya Waamuzi 36 wametangazwa kuchezesha mashindano hayo.

Gumzo kubwa orodha hiyo ni kukosekana kwa Waamuzi kutoka taifa la England na sababu inayotajwa ni kushindwa kumudu kuchezesha vizuri.

Inaelezwa kuwa England imekuwa na Marefa ambao wamekuwa wakiboronga kuchezesha na hicho kinawezekana kikawa kigezo kikubwa cha kushindwa kuteuliwa kuhusika kwenye Kombe la Dunia mwaka huu.

Mbali na England, FIFA pia hawajatoa hata Mwamuzi mmoja kutoka Mataifa ya nchi za Scotland, Wales na Ireland ya Kaskazini.

Uamuzi huo wa FIFA umewafanya watu wa soka kila mmoja kuzungumzia lake baada ya uteuzi huo kufanyika jana Alhamisi.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE