VIRJIL VAN DIJK NAHODHA MPYA WA NETHERLAND
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Netherland Ronald Koeman amemteua Beki wa Taifa hilo na timu ya Liverpool Virjil Van Dijk kuwa nahodha wao katika Mchezo wa Kirafiki dhidi ya England hii.
VVD Atasaidiwa na Daley Blind,Kevin Strootman na Georgino Wijnaldum.
VVD Kachukua Nafasi ya nahodha wa muda mrefu Winga wa Bayern Munich Arjen Robben aliyetangaza kustaafu kucheza timu ya Taifa Baada ya Kushindwa kufuzu kucheza Kombe la Dunia.
Wakati huo huo Nahodha wa England Hii Leo Atakuwa Jordan Henderson wote kutoka Liverpool.