80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

USAJILI: SHIZA KICHUYA KUTUA TP MAZEMBE

Klabu ya TP Mazembe ya DRC Congo imeonesha kumwitaji winga wa Simba sc Shiza Ramadhan Kichuya, habari hii ni kutokana na mitandao ya kijamii

Mazembe inayoshiriki ligi kuu ya  DRC Congo inataka kumsajili winga huyo tegemezi wa Simba baada ya kufanya vizuri mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi Congo DR.

Katika mchezo huo Kichuya alifunga goli la ushindi na kutoa pasi ya goli la kwanza lililofungwa na Nahodha Mbwana Ally Samatta, ambaye pia alipitia Mazembe kabla ya kusajiliwa na GENK ambayo anaichezea hadi sasa.

Taarifa za ndani zinadai kuwa
vilabu ya DR Congo vimekuwa vikivutiwa na uchezaji wa Kichuya kwa mda mrefu

Mazembe wamepost habari hiyo katika ukurasa wa Twitter wa @Bonjour Mazembe.

Kichuya alitua Simba Sc akitokea Mtibwa Sugar miaka miwili iliyopita, mpaka sasa Kichuya amefanikiwa kuifungia Simba magoli 19 na assists 12.

Mazembe na Simba Sc wanamahusiano mazuri tangu walipo mchukua straika Mbwana Samatta ambaye ndiye Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania na kwa sasa anacheza Ulaya katika timu ya GENK nchini Ubelgiji.

Katika hatua hiyo kuna uwezekano mkubwa Kichuya akatua Mazembe baada ya taarifa za kuwa mkataba wa nyota huyo  unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu, licha ya uongozi wa Simba kufanya juhudi kubwa za kutaka kumuongezea mkataba mapema, mwenyewe aligoma kusaini mkataba huo mpya.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE