80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

URENO YAKUTANA NA KISIKI YACHEZEA 3G

Na Yego Sholla

Magoli matatu ya kipindi cha kwanza yaliyofungwa na Memphis Depay, Ryan Babel na Virgil Van Dijk yametosha kuitungua Ureno 3-0 katika mechi ya kirafiki iliyopigwa nchini Ureno.

Ronald Koeman akitumia wachezaji wengi wenye umri mdogo na kuwazidi ujanja wazoefu wa Kireno.

Mtoto wa Gwiji wa Uholanzi Patrick Kluivert, Justin Kluivert akicheza mechi yake ya kwanza ya timu ya taifa.


Ureno wamemaliza mechi wakiwa pungufu baada ya beki wao wa kulia Cancelo kulimwa kadi nyekundu.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE