80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

Ufafanuzi kuhusu suala la kadi 3 za njano za Erasto Nyoni!

Watu wengi wanajadili kwenye mitandao ya kijamii na  ya Whatsapp kama beki wa Simba Erasto Nyoni alicheza mchezo wa jana Machi 2, 2018 kati ya Simba dhidi ya Stand United akiwa na kadi nyekundu au la.

Nyoni alicheza mechi hiyo huku akiwa na kadi mbili za njano na sio tatu kama baadhi wanavyodai, kadi hizo alioneshwa kwenye mechi mbili mfululizo zilizopita.

Alioneshwa kadi ya kwanza kwenye mchezo kati ya Mwadui FC dhidi ya Simba (Februari 15, 2018) uwanja wa Kambarage, Shinyanga ambapo mchezo huo ulimalizika kwa sare Mwadui 2-2 Simba.

Kadi ya pili alioneshwa kwenye mechi kati ya Simba dhidi ya Mbao iliyochezwa uwanja wa taifa Dar (Februari 26, 2018) mchezo huo Simba ilishinda 5-0.

Mchezo ambao watu wengi wanadhani Earasto alioneshwa kadi ni kati ya Simba dhidi ya Azam FC (Februari 7, 2018) mechi ambayo ilichezwa uwanja wa taifa, katika mchezo huo ambao Simba ilishinda 1-0 Erasto hakuoneshwa kadi yoyote.

Kwa hiyo mechi ya jana Machi 2, 2018 Erasto alikuwa na sifa zote za kucheza mechi hiyo.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE