80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

UEFA WASHUSHA NEEMA BARANI ULAYA KUELEKEA KOMBE LA DUNIA

Na Yego Sholla

Kutoka makao makuu ya Shirikisho la Soka barani Ulaya UEFA, Nyon Uswisi, UEFA wamepangua sheria ya usajili ya Januari kwamba wachezaji wataruhusiwa kucheza katika vilabu vyao vipya katika mashindano ya UEFA na Europa hata kama walipotoka walishacheza mashindano hayo.

UEFA wamesema kwamba kuanzia msimu ujao vilabu vitaruhusiwa kusajili wachezaji wapya watatu bila pingamizi lolote . ( Unaweza kusajili wachezaji hata 10 dirisha la usajili lakini watakaoruhusiwa kucheza UEFA ni watatu tu ) .

Sheria za sasa hivi zinamaanisha kwamba Philippe Coutinho hawezi kuitumikia Barcelona katika mashindano ya UEFA kwasababu tayari alishacheza Liverpool hatua ya makundi . Na Arsenal hawawezi kumtua Pierre-Emerick Aubameyang kwasababu klabu yake ilishaangukia kucheza Europa kutoka UEFA na yeye alikuwa ndani yake.

UEFA wamesema kwamba mabadiliko hayo yatakuwa sawa na Ligi za ndani , ambayo hayazuii mchezaji haki ya kucheza.

Na pia kuanzia msimu ujao vilabu vinavyotinga Fainali wanaweza kutumia wachezaji 23 badala ya 18.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE