80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

TOTTENHAM HOTSPUR :MANCHESTER UNITED TUPENI MILIONI 44 TUWAACHIE TOBY ALDERWEIRELD

Na Yego Sholla

Tottenham wanahitaji kiasi cha Pauni Milioni 44 kutoka Manchester United kwa ajili ya kumruhusu Toby Alderweireld kuondoka kaskazini mwa London.

Alderweireld, 29 mkataba wake katika klabu ya Spurs unafikia tamati mwaka 2019, huku wakiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi , lakini wana hofu kwamba wakiongeza mwaka huo mmoja thamani yake moja kwa moja itakuwa Pauni Milioni 25 kutokana na makubaliano ya awali wakatia anasaini mkataba wa sasa.

Tottenham wamekuwa kwenye mazungumzo na Alderweireld kuhusu mkataba mpya ambao utaondoa kipengele cha thamani ya Pauni Milioni 44 lakini mazungumzo hayo yamegonga mwamba.

 Wakati huo huo Chelsea wapo tayari kujitosa kwenye mbio za kumuwania Mbeligiji huyo dhidi ya Man United .

Paris Saint-Germain nao wameonyesha nia ya kutaka kumnasa  Toby Alderweireld kutoka Spurs.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE