80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

THIBAUT COURTOIS :SIENDI POPOTE NITABAKI CHELSEA REAL MADRID HAPANA KABISA

Na Yego Sholla

Golikipa wa Chelsea Thibaut Courtois  amesema kwamba atabaki Chelsea msimu ujao hata kama mkataba mpya utashindikana kutafutiwa ufumbuzi wake majira ya kiangazi.

Kipa huyo wa kimataifa wa Ubeligiji amekuwa akihusishwa na uhamisho wa kutua Real Madrid au Paris St Germain lakini anataka kubaki kwa mabingwa hao watetezi wa EPL , kwa mujibu wa taarifa kutoka The Daily Telegraph.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE