80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

TANZANIA U YANGA NA U SIMBA UNATU GHARIMU SANA


 
Nilipita kijiwe Fulani cha kahawa baada ya mechi ya Jana kuisha dhidi ya Taifa stars na Congo,, nikamkuta shabiki wa simba na yanga wanabishana kwamba Taifa stars bila wachezaji wa simba hamna kitu

Kwamba wachezaji wa simba ndio wanamchango mkubwa .na pia hata Samata kutoka Genk ni zao la simba kwani

Asist ya Kichuya kwa Samata (Goli)
Assist ya Samata kwa Kichuya (Goli)
Assista ya Ajib kwa Msuva (Offisde)
Assist ya Msuva kwa Ajib (Goal Kick)
Na msuva ambae ni zao la Yanga kwamba hajafanya lolote ukimringanisha na samata
Binafsi sifahiani nao ila iliniladhimu kuchangia mada kwani mashabiki wa simba wenye mawazo finyu kama haya sio wa kuwaacha kabisa

Kwani Timu ilipo fungwa Misri!! mbona hamkusema kwamba imefungwa Simba??. kwani kipa alikuwa kutoka simba ,

Laiti kama napewa timu...siiti mchezaji hata mmoja kutoka hizo timu .mashabiki wake wanatuaribia soka.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE