80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

(FULSA) TANGAZO LA MAFUNZO YA UTAYARISHAJI WA FILAMU TANZANIA ZAIDI SOMA HAPA

DODOMA ARTS CENTER kupitia MWANZA FILM ACADEMY wanakuletea fulsa ya mafunzo ya utayarishaji wa Filamu yatakayofanyika Jijini Mwanza kwa muda wa wiki mbili kuanzia tarehe 16 April hadi tarehe 30 April mwaka huu.

Mafunzo yanalenga: Uigizaji wa Filamu na Tamthilia, Uandishi wa Mswada wa Filamu (script writing) Uchukuaji wa picha Jongefu (Cinematography) na Uongozi wa Filamu (Film Directing).

Mafunzo hayo yataendeshwa na Mhadhili wa Sanaa na Fasihi kutoka Idara ya Kiswahili Chuko Kikuu Dodoma Ndugu Gervas Kasiga maarufu kama Chuma, Abdallah Mkumbila maarufu kama Muhogo Mchungu na Deogratius Surah Mkufunzi tokea Taasisi ya Elimu ya Watu wazima Tanzania.

Mafunzo hayo yataanza rasmi April 16 hadi April 30 mwaka huu.

Mahali patakuwa ni Shinyanga Hotel (Mwanza), ambapo ada itakuwa laki moja (100,000) za Kitanzania.

Kwa maelezo zaidi piga simu namba +255716718591/ +255765597322

NYOTE MNAKARIBISHWA PIA VYETI VITATOLEWA..!!
Image may contain: 2 people, people smiling, text

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE