80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

TAMBWE KUIKOSA SINGIDA, ILA DICHA WAJIANDAE TU

Kuna uwezekano mkubwa Yanga ikamtumia kiungo Thabani Kamusoko na Mshambuliaji Donald Ngoma kwenye mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Singida United.

Hii inakuja baada ya wachezaji hao kuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kinachojifua mkoani Morogoro kujiandaa na mchezo huo, unaotarajiwa kupigwa April Mosi kwenye uwanja wa Namfua Mjini Singida.

Mshindi katika mchezo huo ataukaribia ubingwa wa kombe hilo la (ASFC) sababu baada ya ushindi huo ataweza kutinga hatua ya nusu fainali.

Amiss Tambwe hajaweza kujumuika, na kikosi hicho kilichopo mkoani Morogoro kwenye maandalizi hayo.

Tambwe ameachwa  Dar es salaam ili kujiimarisha zaidi, mshambuliaji huyo ataungana na kikosi cha hicho pindi kitakaporejea baada ya mchezo huo wa FA.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE