80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

SIMBA WAZUNGUMZIA MAENDELO YA JONAS MKUDE

Kiungo mkabaji wa Simba Sc, Jonas Mkude ambaye juzi aliumia mazoezini na kuibua hofu kwa wanamsimbazi, anatarajiwa kurejea mazoezini kesho.

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema baada ya kufanyiwa vipimo, imebainika kuwa Mkude alipata majeraha ya michubuko ya kawaida.

Amesema hakuna wasiwasi juu ya afya yake na atakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kinachotarajiwa kusafiri kwenda mkoani Njombe kuivaa Njombe Mji April 03.

Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi hapo jana kwenye uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo huo.

Wachezaji waliokuwa na timu ya Taifa wanatarajiwa kujiunga na wenzao muda wowote baada ya kukamilika kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Tanzania dhidi ya DR Congo.

Katika mchezo huo Tanzania ilifanikiwa kuibika na ushindi wa magoli 2-0 mchezo uliofanyika katika  uwanja wa Taifa, huku Shiza Kichuya akin'gara katika mchezo huo kwa kufunga bao moja na kutengeneza jingine lililofungwa na Nahodha Mbwana Ally Samatta.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE