80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

SIMBA WATENGA MECHI 5 ZA UBINGWA

Kwa mujibu wa benchi la ufundi la Simba, wametenga mechi 5 ambazo zimebeba pointi zitakazowapa ubingwa.

Simba inayonolewa na Mfaransa Pierre Lechantre kwa sasa ndiyo inaongoza katika chati ya msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na pointi 46, sawa na Yanga ambao nao wana idadi hiyo ya pointi.

Kikosi hicho katika michezo hiyo 10 yenye pointi 30 mechi tano watazichezea katika Uwanja wa Taifa huku tano wakizicheza mikoani.

Mechi ambazo Simba watafuata pointi mkoani ni pamoja na Majimaji ya Songea, Lipuli FC ya Iringa, Singida United ya Singida, Njombe Mji ya Njombe na Mtibwa Sugar ya Morogoro.

Kocha msaidizi wa kikosi hicho, Masoud Djuma raia wa Burundi amesema; “Tunatakiwa kuweka malengo ya kupata pointi kwenye mechi zote za mikoani.”

Kama Simba watafanikiwa kupata ushindi katika michezo yote hiyo watavuna pointi 30 ambazo ukijumlisha na 46 ambazo wanazo sasa watafikisha pointi 76 zitakazokua 3 mbele ya Yanga watakaomaliza ligi wakiwa na 73.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE