80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

SIKIA HII ENGLAND KOMBE LA DUNIA BADO SANA

Na Yego Sholla

Lothar Matthaus, nahodha wa Ujerumani wa mwaka 1990 waliotwaa taji la kombe la Dunia amesema fainali za kombe la Dunia za mwaka 2018 nchini Urusi zimekuja mapema sana kwa Uingereza kupata mafanikio.

Lothar Matthaus amecheza kwa rekodi ya mechi 25 za kombe la Dunia katika mashindano matano tofauti ya kombe la hilo katika maisha yake ya soka.

Uingereza ni mabingwa wa kombe la Dunia kwa chini ya miaka 17 na 20 na Matthaus anaamini kwamba Uingereza wananufaika kwa ujio wa makocha wengi wa kigeni.

Lakini amesema kikosi cha wakubwa kitabidi kisubiri kwa ajili ya mafanikio yao.

" Nakipenda kikosi cha Uingereza, kina wachezaji wengi sana wadogo."

" Matokeo mazuri ya chini ya miaka 21, miaka 20 na miaka 19 na hiyo imesaidia sana "

" Na makocha wazuri sana katika ligi ya Uingereza kama Jurgen Klopp na Pep Guardiola "

" Nafikiri wachezaji wenye umri mdogo watanufaika sana kuwa na makocha wenye ubora na uzoefu huu."

" Lakini wanahitaji muda, hili kombe la Dunia limekuja mapema sana kwa timu hii ya Uingereza."

" Lakini nahisi kwa miaka minne ijayo kuna kitu kikubwa kitatokea katika soka la Uingereza, hadi ngazi ya kimataifa , sio vilabu tu pekee."

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE