80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

SHAKHTAR DONETSK:KIUNGO FRED ASEMA NAHITAJI KUCHEZA LIGI KUU YA UINGEREZA EPL

Na Yego Sholla

Kiungo wa Shakhtar Donetsk, Fred anaitaka ligi kuu ya soka ya Uingereza , kwa mujibu wa mshauri wake na kiungo wa zamani wa Arsenal, Gilberto Silva.

Taarifa kutoka Sky sports ziliripoti mapema mwaka huu kwamba kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25 alikuwa anawindwa na Manchester City mwezi Januari lakini dili lake halikukamilika.

Gilberto ambaye aliifanikiwa kucheza mechi 170 akiwa na Arsenal kati ya mwaka 2002 mpaka 2008 amekuwa mshauri mkubwa sana wa Mbrazil mwenzake huyo na Pia Gilberto amethibitisha kwamba Fred anawindwa nchini Uingereza.

Gilberto amesema," Sasa hivi tupo wazi kwenye soko  , pindi unapoona soko lote Duniani, basi Ligi kuu ya Uingereza ni moja ya sehemu unazozitaka."

" Kulikuwa na maulizio kuhusu yeye mwezi Januari ,lakini hakuna kilichokamilika. Ligi kuu ya Uingereza ndio mahala anapopapenda."

" Nimemuambia azingatie sana kazi yake ya sasa . Hicho ndio anachotakiwa kufanya . Anapocheza sasa. Nafasi yake itakuja tu."

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE