80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

SERGIO AGUERO NAONDOKA MANCHESTER CITY

Na Yego Sholla

Nyota wa Manchester City Sergio Aguero amesema kwamba ataondoka Manchester City mwaka 2020 na kuhamia klabu yake ya utotoni Independiente nchini Argentina.

Aguero mwenye umri wa miaka 29 alianza maisha yake ya soka katika klabu ya Independiente mwaka 1997 kabla ya kuhamia Atletico Madrid miaka tisa baadae.

Aguero akahamia Man City ambapo ana mkataba nao mpaka mwaka 2020 na kuisaidia klabu kutwaa mataji mawili ya Ligi kuu ya Soka ya Uingereza  tangu mwaka 2011, huku wakiwa wanatarajiwa kutwaa taji la tatu chini ya Pep Guardiola.

" Mkataba wangu na Manchester City utafikia tamati mwaka 2020, baada ya hapo nitarejea nyumbani Independiente" Aguero ameiambia Fox Sports.

Aguero amekuwa na msimu mwingine mzuri akifunga magoli 21 ya Ligi na 30 katika mashindano yote .

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE