80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

SAMUEL UMTITI:BARCELONA WAINGIA MCHECHETO

Na Yego Sholla

Barcelona wana wasiwasi kuhusu janga la kumpoteza Samuel Umtiti majira ya kiangazi, kwa mujibu wa taarifa kutoka Sport.

Dili lake la sasa linafikia kikomo mwaka 2021 huku akiwa na thamani ya bei rahisi kwa soko la sasa hivi la Euro Milioni 60 kwenye mkataba wake ( Buy-Out Clause ) . Kwa maana hiyo Barca wapo mbioni kumsainisha mkataba mpya na kuondoa kipengele hiko cha thamani yake.

Hata hivyo mazungumzo baina ya Barcelona na mchezaji hayaendelei vizuri , na mfaransa huyo amepokea ofa kutoka vilabu vingine na huenda akaondoka Nou Camp majira ya kiangazi.

Vinara wa La Liga wameanza kuwa na wasiwasi kwamba watampoteza beki huyo mzawa wa Cameroon na Manchester United wanasubiria pembeni kunasa huduma yake.

Barcelona tayari wameanza kutafuta mbadala wake na wametengeza orodha ya wachezaji wanne , beki wa Sevilla  Clement Lenglet, beki wa PSG  Presnel Kimpembe, beki wa Manchester City Aymeric Laporte na beki wa Atletico Madrid Lucas Hernandez.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE