80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

GIGGS AMZUIA BALE KUTUA UNITED

Na Yego Sholla

Ryan Giggs anaamini kwamba Gareth Bale anatakiwa kubaki Real Madrid kwa zaidi ya majira ya kiangazi yajayo licha ya tetesi zinazomuhusisha na kurejea ligi kuu ya soka ya Uingereza.

Nyota huyo wa zamani wa Tottenham amekuwa na wakati mgumu wa kupata namba ya kudumu katika kikosi cha Zinedine Zidane msimu huu lakini Giggs amesisitiza kwamba Bale yupo mahala sahihi Bernabeu.

Alipoulizwa kama Real Madrid ni sehemu sahihi kwa Bale, Giggs amesema:

"Ndio, nilienda kumuangalia kwenye mechi dhidi ya PSG. Pindi ukienda pale ile hali ya ukubwa wa klabu, kuna klabu chache sana Duniani zenye hali kama ile."

" Kwahiyo bila shaka unataka kubaki hapo. Ametwaa mataji matatu ya UEFA , ushahidi upo hapo."

"Pindi unapokuwa katika vilabu kama hivyo lazima utakuwa unashinda mataji tu."

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE