80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

RIPOTI YA DAKTARI WA SIMBA KUHUSU MKUDE BAADA YA KUUMIA MAZOEZINI

Kiungo wa Simba Sc, Jonas Gerald Mkude ameumia kifundo cha mguu wa kulia (Ankle) akiwa mazoezini leo jioni Jumatatu ya March 26-2018.

Baada ya kutolewa nje ya uwanja na kupatiwa huduma ya kwanza uongozi wa Simba kupitia  ukurasa wao wa Instagram umesema  kuwa umeongea na Daktari wa Simba  Bwana Yassin Gembe kuhusu majeraha hayo aliyoyapata Mkude.

'Mkude ameumia kwenye kifundo cha mguu wa kulia, kwa vipimo vya awali na si majeraha makubwa sana, ila kesho (leo) ndio tutatoa taarifa kamili kuhusianana na hali yake kwa ujumla ila kwa sasa napenda kusema anaendelea vizuri kutoka katika matibabu ya awali tuliyompatia' amesema Bwana Yassin Gembe.

Simba inaendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Boko Veteran, katika kujiandaa na mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Njombe Mji April 03 mwaka huu kwenye uwanja wa Sabasaba

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE