80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

RATIBA YA ROBO FAINALI YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP (ASFC) MARCH 30-2018

Hatua ya robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC) inatarajia kuanza kutimua vumbi leo Ijumaa ya March 30-2018 kwa kupigwa mchezo mmoja tu.

Leo Ijumaa ya March 30-2018, utapigwa mchezo mmoja wa robo Fainali, ambapo Stand United 'chama la wana' itakuwa ina kibarua dhidi ya Njombe Mji katika Uwanja wake wa nyumbani wa CCM Kambarage.

Mchezo huo ambao ndio wa kwanza katika michuano hii hatua ya robo Fainali unatarajiwa kupigwa majira ya saa 16:00 jioni.

Mshindi wa mchezo huu atakwenda moja kwa moja Nusu Fainali, ambapo atakutana na mshindi kati ya Azam Fc vs Mtibwa Sugar wanaocheza hapo kesho Jumamosi ya March 30-2018.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE