RATIBA YA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA JUMAPILI YA MARCH 04-2018
Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya 20 inatarajiwa kuendelea Leo Jumapili ya March 04 kwa michezo mitatu badala ya miwili kama ilivyokuwa mwanzo, hii inakuja baada ya mchezo wa Tanzania Prisons kuhairishwa hapo Jana na kupangiwa Leo kutokona na mvua kubwa iliyonyesha Mjiji Mbeya.
Tanzania Prisons vs Mbao Fc muda haujajulikana na bado
Mbeya City vs Mwadui Fc saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Sokoine-Mbeya
Lipuli Fc vs Ndanda Fc saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Samora-Iringa
Na mchezo wa mwisho unaokamilisha raundi ya 20 utakuwa kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Young Africans.
Mchezo huo umesogezwa mbele na utapangiwa tarehe sahihi, ili kupisha maandalizi ya mechi ya kimataifa kati ya wenyeji Young Africans dhidi ya Townships Rollers.
Mchezo huo utafanyika March 06- 2018 kwenye uwanja wa Taifa ukiwa ni mchezo wa kwanza katika hatua hiyo ambapo mchezo wa marudiano utapigwa kati ya March 16 na 17 huko Botswana