80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

RAIS WA KLABU YA PAOK ASHUSHIWA MVUA YA MIAKA 3 KUTOINGIA UWANJANI

Na Yego Sholla

Rais wa klabu ya PAOK Salonika amefungiwa miaka mitatu baada ya kuingia uwanjani akiwa na bastola katika mechi ya ligi kuu ya Ugiriki dhidi ya AEK Athens.

Ivan Savvidis alikuwa na Bastola kiunoni mwake pindi alipoingia uwanjani baada ya PAOK kukataliwa goli walilofunga dakika za lala salama  mnamo Machi 11 na mechi hiyo kuharishwa.

Na pia amepigwa faini ya Pauni 87,000 na bodi ya ligi ya Ugiriki .

PAOK wamepokonywa pointi tatu na kupigwa faini ya Pauni 53,000.

Na pia watacheza mechi zao tatu zijazo za nyumbani bila mashabiki na wataanza msimu ujao wakiwa na upungufu wa pointi -2

Wapinzani wao kwenye mbio za Ubingwa AEK wamezawadiwa alama tatu kutokana na kuharishwa mechi hiyo ambapo ilikuwa 0-0 pindi Savvidis alipoingia uwanjani , mmoja wa Bindamu tajiri ndani ya nchi ya Ugiriki

PAOK wanashika nafasi ya tatu na ushindi ungewasogeza mpaka nafasi ya pili wakizidiwa pointi mbili tu dhidi ya AEK.

Ligi itarejea tena siku ya Jumamosi baada ya kusimamishwa machi 12.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE