80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

RAGE HAJAFURAHISHWA NA WALE WALIOMPINGA MANARA KUHAMASISHA UZALENDO, AMEFUNGUKA KWA KUSEMA HAYA

Na George Mganga

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, amesema kuwa baadhi ya watu waliompinga Afisa Habari wa Simba kuhusu uzalendo walikosea.

Hivi karibuni wakati Simba na Yanga hazijaanza kushiriki mashindano ya kimataifa, Manara aliitisha kikao na Waandishi wa Habari kuomba timu hizo mbili kongwe (Simba na Yanga), ziungane kuwa kitu kimoja.

Simba walikuwa wanajiandaa kucheza na Gendarmarie Nationale FC kutoka Djibout kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho, na Yanga wakijiandaa kucheza dhidi ya St. Louis FC ya Sychells.

Mwenyekiti huyo wa zamani amesema watu waliojitokeza na kumpinga Manara kuhusu kuhamasisha uzalendo walikosea.

Rage ameeleza kutofurahishwa na kitendo hicho, kutokana na Manara kuwa na maana nzuri ya kuziunganisha klabu na mashabiki kuwa kitu kimoja.

"Manara ni mtu wa mpira, namjua vizuri. Sijajua kwanini baadhi ya watu walipinga kitendo cha yeye kuhamasisha uzalendo, walikosea" alisema Rage

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE