80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

PUYOL NAYE AMUSII NEYMAR JR KUTUA REAL MADRID

Na Yego Sholla 


Nahodha wa zamani wa FC. Barcelona, Carles Puyol, amesema haoni tatizo kwa Neymar kujiunga na Real Madrid.

Mchezaji huyo amekuwa akihusishwa kujiunga na Real Madrid tangu ahamie kwa matajiri hao wa Ufaransa kwa dau la uhamisho wa euro milioni 222.

Mbali na Madrid, Neymar amekuwa akihusishwa na timu zingine Ulaya ikiwemo Manchester United.

Taarifa zilizoripotiwa hivi karibuni zilisema mchezaji huyo anatamani kurejea Barcelona huku ikielezwa anajutia maamuzi ya kujiunga na PSG.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE