80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

POUL POGBA INATOSHA NAONDOKA MANCHESTER UNITED

Na Yego Sholla KUNA uwezekano mkubwa kwa Paul Pogba kuihama Manchester United mwishoni mwa msimu huu huku timu za Italia zikipewa nafasi kubwa ya kumsajili.

Uhusiano wa Pogba na kocha wake, Jose Mourinho sio mzuri na staa huyo amejikuta akisotea benchi mara nyingi katika siku za karibuni.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa Pogba amechoshwa na hali hiyo na angependa kurudi kwenye soka la Italia.
Uvumi uliopo ni kuwa Juventus inafuatilia hali yake kwa sasa na AC Milan nayo pia inasikilizia hatma yake.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE