80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

POGBA NI MCHEZAJI BORA :HUGO LIORIS

Na Yego Sholla

Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa, Hugo Lloris anaamini kwamba Paul Pogba " ni mmoja wa wachezaji bora Duniani " licha ya hali yake isiyo ya kawaida katika kikosi cha Manchester United.

Pogba amekuwa na wakati mgumu hii  wa kiwango na kiafya msimu huu na kumekuwa na tetesi kwamba huenda akaondoka Manchester United hapo baadae.

Lakini Lloris amesema: " Msimu huu umekuwa sio wa kawaida kwake, lakini alikuwa majeruhi kwa muda mrefu na hiyo inaweza kuelezea kwanini hakuwa na muendelezo mzuri muda wote."

" Lakini tayari ameshadhihirisha akiwa na Manchester au Ufaransa kwamba ni mmoja wa wachezaji bora Duniani akiwa kwenye asilimia 100 kimwili na kiakili . Sasa hivi amepevuka zaidi, na mmoja wa viongozi wetu Ufaransa."

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE