80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

PICHA & VIDEO: WALIPOKUTANA TAMBWE, KAMUSOKO NA NIYONZIMA

Kamusoko na Amissi Tambwe wamekuwa wakifanya program maalum ya mazoezi ya Gym kuimarisha zaidi miili yao baada ya kuwa nje kwa muda mrefu kutokana na majeruhi.

Wawili hao walikutana uso kwa uso hapo jana na kiungo wa Simba Haruna Niyonzima ambaye nae ameanza mazoezi hivi karibuni baada ya kutoka India kutibiwa majeraha ya kifundo cha mguu.

Misimu miwili iliopita Kamusoko na Niyonzima walikuwa wakiunda kiungo bora katika kikosi cha Yanga wakati Tambwe alikuwa akizifumania nyavu apendavyo.

Wote wamekuwa na msimu mbaya kwenye timu zao baada ya kukumbwa na majeraha yaliyowaweka nje kwa muda mrefu.

Taarifa kutoka kwa madaktari wa timu hizo mbili zinadai wachezaji hao wako fiti na watarejea hivi karibuni, baada ya kuonesha maendeleo mazuri kabla ya kurejea uwanjani.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE