80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

PAUL POGBA NJE KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA UFARANSA

Na Yego Sholla

Paul Pogba hatakuwa miongoni kwa wachezaji watakaojumuishwa kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya timu ya taifa ya Ufaransa na ile ya Colombia.

Kocha wa Ufaransa, Didier Deschamps amesema badala ya Pogba atamchezesha  N'Golo Kante ambaye anaamini atashirikiana vema na Blaise Matuidi katika kucheza mtindo 4-4-2.

Hatua hii inazidi kumuwia ugumu Paul Pogba ambaye pia amekuwa hafanyi vizuri katika klabu yake ya Manchester United.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE