80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

NYAMLANI ACHUKUA NAFASI YA MICHAEL WAMBURA TFF

Kamati ya Utendaji ya TFF iliyokaa hapo jana Jumamosi ya March 24-2018, ilimteua Athumani Nyamlani kukaimu nafasi makamu wa rais wa shirikisho hilo.

Nyamlani ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, ameteuliwa kushika nafasi hiyo baada ya Wambura kufungiwa maisha kujihusisha na soka.

Wambura alifungiwa na kamati ya maadili ambayo imeeleza kumkuta na hatia na makosa kadhaa yakiwemo ya kugushi nyaraka kwa ajili ya malipo ambayo yameelezwa hayakuwa sahihi.

Kwa mjibu wa Kanuni na Taratibu za TFF mtu ambaye anatakiwa kukaimu nafasi ya Uongozi kwa nafasi ya kuchaguliwa anatakiwa kuwa mjumbe wa muda mrefu wa TFF ambaye yupo kwenye kamati tendaji. Kwa wajumbe wa kamati tendaji ambao wana muda mrefu kwenye shirikisho kwa sasa ni watatu (Mgoyi, Nyamlani na Khalid)

Kikao cha kamati tendaji kinachoendelea jijini Dar, kilishidwana kwenye kumpitisha Athuman Nyamlani kukaimu nafasi hiyo ndipo kura za Ndio na hapana zikapigwa na kura za Ndio zikawa nyingi akapitishwa Athuman Nyamlani kuwa kaimu Makamu wa Rais wa TFF mpaka pale mkutano mkuu utakavyoamua vingine.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE