80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

NJOMBE MJI YATUMA MAPENDEKEZO MAWILI TFF NA BODI YA LIGI

Timu ya Njombe mji fc inapenda kuujulisha umma wa wananjombe na wapenda soka nchi nzima kuwa tumepeleka mapendekezo TFF na bodi ya ligi kuhusu taarifa ya ratiba tuliyoipokea jana saa 10 jioni ikionyesha mchezo kati yetu na simba utachezwa tarehe 3 mwezi wa nne!

Katika mapendekezo yetu tumeishauri yafuatayo kwa TFF na TPBLB
1.Baada ya michezo iliyokuwa kwenye ratiba inatoa nafasi katika kipindi cha siku 12 baada ya mchezo na azam tarehe 15.Ingependeza mchezo ungechezwa hapo!badala ya kiporo cha simba na kagera kingefaa kuchezwa tarehe 3.4 kwa timu zote hizo hasishiriki FA cup.

2.Kama ni lazima simba icheze hiki basi mchezo huo tumependekeza ufanyike tarehe 30 au 31 mwezi wa tatu na mchezo wetu wa FA uliotakiwa kuchezwa tarehe 30 uchezwe tarehe 4.

Kwa kuwa barua yetu imefikishwa TFF na bodi ya ligi tunasubiri maamuzi ya busara kutoka TFF.

Ikumbukwe timu ilitakiwa kusafiri tarehe 27.3.18 tukaamua kusitisha safari ili kwanza tupate muafaka.

Majibu yote yatapatikana baada ya barua kupata majibu.

Tuwaombe wananjombe kuwa watulivu kipindi hiki ambacho tunashughulikia hali hii.

Imetolewa na
Hassan Macho
Msemaji
Njombe mji fc
27.3.2018

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE