80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

NJOMBE MJI VS SIMBA MECHI IKO PALE PALE

Kiporo cha mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Njombe Mji FC dhidi ya Simba SC kiitachezwa Aprili 3 mwaka huu katika Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe.

Kupitia Mtendaji wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura hapo jana, alisema kuwa mchezo huo ulioahirishwa ili kuipa nafasi Simba ya kujiandaa na mechi dhidi ya Al Masry katika Kombe la Shirikisho, sasa umepangwa tarehe tajwa hapo juu.

Licha ya mabadiliko hayo, uongozi wa Njombe Mji ulilalamikia mabadiliko ya ratiba hiyo wakidai yanawabana kutokana na muingiliano wa mechi za ligi na zile Kombe la FA.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE