80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

NASSOR CHOLO AWAPA NENO WACHEZAJI WA SIMBA SC

Na Yego Sholla


MAMBO ni moto kweli kweli. Nyota wa zamani wa Simba, wameingilia kati kuhakikisha timu hiyo inatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, wakisema nguvu B iliotumika kukiandaa kikosi dhidi ya Al Masry ndiyo itumike kumalizia mechi zilizobakia.


Simba imekabwa koo na Yanga kileleni mwa ligi zote zikiwa na pointi 46, japokuwa Wana Msimbazi wanaongoza kwa wastani mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa.


Nahodha wa zamani wa timu hiyo, Masoud Nassor ‘Chollo’ amesema soka waliloonyesha Simba dhidi ya Al Masry katika Kombe la Shirikisho, linapaswa kuendelezwa katika ligi.

“Mimi ni mchezaji, najua kitu kilichowafanya waupige mpira mwingi kule Misri, mfano mzuri ni maandalizi yanayofanywa Simba ikicheza na Yanga, viongozi wanakuwa karibu na wachezaji kuhakikisha wanakuwa watulivu, wanatatua shida zao na ndicho kitakachowafanya watwae ubingwa msimu huu, wasibague mechi,” alisema.


Danny Mrwanda, ambaye aliyeichezea timu hiyo kwa nyakati tofauti, alisema kufanana pointi na Yanga si mwisho wa ndoto zao, ila viongozi na benchi la ufundi watumie hekima ya hali ya juu kuongoza jahazi hilo.

“Bado Simba wana nafasi ya ubingwa, kinachotakiwa ni busara za viongozi kwa wachezaji wanaowategemea walete taji hilo, katika mechi zilizosalia,” alisema.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE