MKUBWA FELA :MOROUANE FELLAINI KUTUA MONACO
Na Yego Sholla
Huku Marouane Fellaini akionekana kutoka katika mlango wa Old Trafford majira ya kiangazi , Monaco wamejitosa kwenye mbio za kuwania saini za kiungo huyo wa kimataifa wa Ubeligiji .
Monaco wameripotiwa kufanya mawasiliano na Fellaini mwenye umri wa miaka 30 kuhusu uhamisho huo wa mwezi Juni.
Roma na Besiktas nao wameripotiwa kuwania saini ya Fellaini kwa mujibu wa chombo cha habari kutoka Ubeligiji kinachoitwa , La Derniere Heure.