80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

MICHEZO YA KIMATAIFA KWA TANZANIA NA WAZO HURU KWA WADAU WA SOKA

Na Yego Sholla

Shirikisho aliwezi kuweka mkakati ambatanishi kwa michezo ya kirafiki kwa timu zake zote tano za mpira wa miguu kwa taifa moja ambalo litakuwa na mchezo huo.

Mfano, Kama Congo anakuja kucheza mchezo wa kirafiki Basi aje na full package ya senior National team(wanaume na wanawake), Under 20(wavulana na wasichana), Under 17 na Under 15........

Mfano, Jana U17, U20, U15 zetu zingecheza kwanza na U15, U20, U17 za Algeria kabla ya Senior team kukutana. Nadhani tungepata experience na exposure kubwa Sana lakini pia hii ingetupa mwanya mzuri wa kufanya study tour kwa uendeshaji rafiki wa maendeleo ya mpira wa miguu kwa vijana.

Hili Ni wazo tu..... Fedha zitumike Sasa hivi baadae zije zijirudishe..... Ukitizama kwa makini utagundua mpira wetu unakuwa zaidi kwenye program za vijana, huko ndipo ilipowekwa tija yetu kubwa na ninaopa tumaini kwa miaka ya baadae Kama elimu ya sayansi ya michezo itaelekezwa kwa hao vijana pia.


No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE