80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

MECHI YA WATANI WA JADI SASA KUFANYIKA TAR 29.04.2018

Na Yego Sholla

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kupitia Mtendaji Mkuu wa bodi hiyo Bw.  Boniface Wambura leo imetangaza rasmi tarehe ambayo Watani wa Jadi (Simba SC na Yanga SC)  kukutana, akitaja pamoja na mechi nyingine ambazo leo zimetolewa ratiba yake rasmi, Wambura alitangaza rasmi sasa kuwa Yanga sc vs Simba sc kukutana  watani  wa Jadi Yanga tarehe 29.04.2018

Pamoja na michezo mingine mbalimbali ambayo leo imetolewa ratiba yake rasmi, klabu ya Simba imepangwa kucheza

Njombe Mji FC Vs Simba April 3
 Mtibwa vs Simba Aprili 9
Simba vs Mbeya Citty 12 April
Simba Vs Prison April 16
Lipuli FC vs Simba Aprili 20
Simba vs Yanga Aprili 29

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE