80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

MCHEZO WA MBEYA CITY VS YANGA WAPIGWA STOP

Ikiwa zimepita siku mbili tu tangu itoe ratiba ya kukamilisha michezo iliyobaki ya ligi kuu ya Vodacom, Bodi ya ligi imeifanyia marekebisho ratiba hiyo.

Bodi ya ligi imetoa taarifa ya marekebisho ya mchezo mmoja namba 199 kati ya Mbeya City na Yanga uliokuwa umepangwa kufanyika Mei 1-2018 kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya, sasa utapangiwa tarehe nyingine.

Kulingana na taarifa hiyo, uamuzi wa kuipangia tarehe nyingine ni kukidhi matakwa ya Kanuni inayotaka nafasi kati ya mechi moja na nyingine isiwe chini ya angalau saa 72.

Yanga itacheza na Simba Aprili 29-2018 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivyo isingekuwa rahisi kucheza May Mosi, ikiwa ni siku mbili tu zinazokuwa zimepita.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE