80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

MBEYA CITY HAWA MALAWI

Na Yego Sholla


Kikosi cha Mbeya City kimeondoka nchini kuelekea nchini Malawi mapema leo hii kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Karonga United.

Kwa mjibu wa taarifa iliyotolewa na klabu hiyo inasema

"Karonga United na Nyassa Big Bullets ni vilabu vilivyovutiwa sana na soka la City; na kwa muda mrefu tumekua na mialiko ya kutembelea majirani hawa.Mbeya City FC hapa Malawi ni kama nyumbani kutokana na kuwa na wachezaji na watumishi wengi wenye asili ya nchi hii. Kuanzia Kocha wa awali Kinnah 'Electric' Phirri, Kocha Mkuu wa sasa Mr. Nsanzurwimo Ramadhani ambaye pia amewahi kuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Malawi, Sankhani Mkandawike na Owen Chaima ambaye ndiye golikipa nambari 1 wa kikosi hiki".

Mbeya city kwa sasa imekuwa na matokeo ya kusuasua katika ligi msimu huu.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE