Breaking

USISAHAHAU KULIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI ZA MICHEZO, BOFYA LIKE

Tuesday, March 13, 2018

MATOKEO NA MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA MARCH 13-2018

JIUNGE NA NIJUZEHABARI.CO.TZ SASA!


Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FACEBOOK, TWITTER na INSTAGRAM ili kupata habari zote za Michezo na Usajili! Usikose Kudownload APP yetu ya NIJUZEHABARI BOFYA HAPA

Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya 22 imeendelea leo Jumanne ya March 13-2018 kwa kuzikutanisha Kagera Sugar dhidi ya Mwadui Fc ya mkoani Shinyanga.

Mchezo huo ulianza majira ya saa 16:00 jioni katika uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba na kushuhudiaKagera Sugar wakiibuka na ushindi wa goli 1-0.

Goli hilo la ushindi limefungwa na Japheth Makalai kwenye dakika ya 26 kipindi cha kwanza, ushindi huo unaisogeza kagera kutoka nafasi ya 14 hadi nafasi ya 12 kwa jumla ya alama 21, baada ya michezo 22.

Mwadui Fc wao wanashuka kutoka nafasi ya 12 mpaka nafasi ya 13 baada ya kupoteza mchezo wa leo wakiwa na alama 20 baada ya michezo 22.

Huu ni msimamo wa ligi baada ya mchezo mmoja uliopigwa leo na kumalizika kwa ushindi wa bao 1-0 Kagera Sugar ikiichapa Mwadui FC, ukionesha Kagera kupanda kutoka nafasi ya 14 hadi nafasi ya 12.
No automatic alt text available.

No comments:

Post a Comment